Pesa Sio Kila Kitu Bali Utu Ndio Kila Kitu: Salma Jabu Nisha
Nisha
Star mkubwa wa filamu nchini Salma Jabu Nisha amesema kuwa pesa sio kila kitu bali utu ndio
kila kitu baada ya watu kusema kwa nini Nisha ni mtu wa kawaida na filamu
zake zinafanya vizuri na biahara yake ya saloon inafanya vizuri, Kwa mujibu wa chanzo cha karibu na star huyo Nisha
hana makuu kama baadhi ya wasanii wengine ndiyo maana anafanikiwa huku akimuweka mbele mungu, kuthamini utu na kusaidia wasiojiweza pale anapokuwa na uwezo wa kufanya hivyo. Mashabiki wa Nisha pia walikuwa wakijiuliza hayo then Nisha mwenyewe akawajibu kwa kusema pesa sio kila kitu bali utu
ndio kila kitu, aliwaambia mashaiki waache kuamini kwa wanayosikia bali
wawe na maono ya mbali na kujiuliza kila siku.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pagesSwahili World Planet andBongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment