Pages

Saturday, March 1, 2014

ODAMA, GABO, THADEO ELEXANDER KULITEKA SOKO NA FILAMU YA JICHO LANGU.

Star mkubwa wa filamu nchini Odama Jenifer Kyaka kama kawaida yake anatarajiwa kutikisa soko la filamu nchini na movie yake mpya inayoitwa "Jicho Langu". Filamu hiyo si ya kukosa kwani story yake ina funzo kubwa katika jamii. Ukiachilia mbali Odama mastaa wengine waliocheza katika filamu hiyo ni pamoja na Salim Ahmed(Gabo), Thadeo Elexander na Grace Mapunda. Filamu hiyo imetengenezwa na Odama kupitia kampuni yake ya J-Film 4 Life. Hakikisha unapata nakala yako halisi itakapoingia sokoni.


No comments:

Post a Comment