Friday, March 14, 2014

Mwanaume Atakayenioa Atafaidi Sana: Mayasa Mrisho

Star wa filamu nchini Mayasa Mrisho amesema kuwa mwanaume atakayebahatika kumuoa atafaidi sana mapishi yake kwani anajua kupika mahanjumati na hawezi kuachika kwa sababu ya kutokujua kupika. Akizungumza na Globalpublishers Mayasa ambaye amecheza filamu nyingi na marehemu Steven Kanumba alisema "Wee… mi noma katika mapishi, siwezi kuachika kwa sababu ya kushindwa kupika, atakayenioa atafaidi mahanjumati ya ukweli kabisa, chezea mimi wewe!"

                                                                    Mayasa



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment