Pages

Sunday, March 16, 2014

Monalisa, Lulu, Joti Na Richie Kuwa Majaji Wa Tanzania Movie Talent !

Monalisa, Joti, Elizabeth Michael "Lulu" na Single Mtambalike "Richie" kuwa majaji wa Tanzania Movie Talent(TMT) inayotarajiwa kuanza kufanyika mwezi April katika mikoa mbalimbali nchini  !. Well... kupitia mtandao mmoja wa kijamii Lulu ameweka picha hiyo hapo juu akionekana na kina Monalisa na kuandika "Kikazi zaidi...!kwa ww mwenye kupaji cha kuigiza kaa tayari...!TANZANIA MOVIE TALENTS...!#comingsoon"




Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment