Baada ya habari zilizoenea wiki iliyopita kuwa star wa Bongofleva Linah Sanga amepachikwa mimba na mtanzania mwenye asili ya kihindi sasa muimbaji huyo ameamua kumuweka wazi mpenzi wake kupitia mtandao wa Instragram na kuandika maneno hayo hapo chini..........
Lina na mtu wake
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment