Pages

Monday, March 3, 2014

Kuzushiwa Kuwa Mimi Ni Msagaji Kunaniumiza Sana: Jackline Wolper

Jackline Wolper

 Jackline Wolper ambaye ni star mkubwa katika tasnia ya filamu Swahiliwood amesema kuwa anaumizwa sana na baadhi ya watu wanaomzushia kuwa ni msagaji kwani yeye hawezi kufanya kitendo hicho ambacho hakimpendezi Mungu. Akizungumza na Globalpublishers Wolper ambaye ni mmoja wa mastaa wa kike wenye mvuto nchini alisema "Roho inaniuma sana kuhusiana na hizo taarifa sijui niongee nini ili jamii inielewe kile nitachokizungumza, ni ngumu sana kufanya hicho kitu ambacho najua hakimpendezi Mungu kivyovyote vile"


                                                           Jackline Wolper



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

2 comments:

  1. don't care bout what stupid talk bout you....just take them as a challenge care nothing ma sister I love youuu sis jackieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. don't care my cster..jus kip it up yo xo guddle mdada...I love yuuuuuuuuuuuuuu sis jack may you pls accept ma request

    ReplyDelete