Pages

Friday, March 7, 2014

Johari Na Irene Uwoya Wapokelewa Kwa Ukarimu Mkubwa Huko Arusha.


Mastaa wakubwa wa filamu nchini Blandina Chagula(Johari) na Irene Uwoya juzi kati walikuwa jijini Arusha na kupokelewa kwa heshima zote kwa ujumbe uliojaa ukarimu kutoka uongozi wa hotel ya Mount Meru. Chanzo kimoja kilicho karibu na wawili hao kiliiambia Swahiliworldplanet kuwa Uwoya na Johari walikuwa Arusha kwa shughuli zao binafsi na walifurahi sana kupokelewa kwa ukarimu mkubwa kutoka katika uongozi wa hotel hiyo. Ujumbe wenyewe huo hapo chini ..........

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment