Superstar wa muziki wa Bongofleva Tanzania, Diamond Platinumz
amependekezwa kuwania tuzo za Kora Awards akiwa na wanamuziki mbalimbali
wa Afrika. Ukiwa kama mtanzania uwe shabiki wa Diamond hata usiwe
shabiki wake tafadhali mpigie kura Diamond ili ashinde tuzo na kuiletea
sifa Tanzania. Unachotakiwa ni ku-like page yao official ambayo ni hii
Kora Awards
halafu comment kwa kuandika jina Diamond Platinumz katika kila post
wanayoweka, hakikisha una-like page yao kwanza ili kura yako ihesabike.
Pia unaweza kuingia kwenye website yao hapa
www.koraawards.org
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment