Pages

Wednesday, February 5, 2014

SIJAWAHI KUMPA PENZI DIAMOND PLATINUMZ: HAMISA MOBETO

Hivi karibuni zilisambaa habari mitandaoni kuwa model/actress Hamisa Mobeto anatoka kimapenzi na mwanamuziki superstar, Diamond Platinumz. Habari zaidi zilidai kuwa penzi lao ni la muda mrefu kidogo ingawa wanafanya siri sana. Swahiliworldplanet ilimtafuta Hamisa na kumuuliza kuhusu kudaiwa kuwa wapenzi na Diamond na mrembo huyo ambaye aliwahi kushiriki Miss Tanzania alijibu kwa ufupi kwa kusema "Sijawahi kumdate diamond"

                                          Hamisa Mobeto
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment