Pages

Monday, February 3, 2014

PHOTOS: MZUNGU WA SHILOLE ADAIWA KUWA SIO RIZIKI.

Siku chache baada ya msanii wa sinema na muziki nchini, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ kujinadi na mchumba wa Kizungu aliyejulikana kwa jina moja la Ankar, siri imefichuka kwamba jamaa huyo ni mwanaume tata.
POZI TATA: Ankar katika pozi.


Kikizungumza na Globalpublishers kupitia gazeti lake la Ijumaa Wikienda kutoka London, Uingereza, chanzo hicho makini kilisema mwanaume ambaye hivi karibuni Shilole alijinadi kuwa ni bwana’ke siyo kwani huko London baadhi ya watu wanamfahamu kama mwanaume tata kijinsia.
MAUNO: Ankar akikata mauno.

“Yule jamaa anapenda sana kukaa na wanawake, sijawahi kumuona na wanaume wenzake, kazi kukata tu mauno na wanawake. Nilishangaa sana Shilole kusema eti ni mchumba’ke wakati hapa London (Uingereza) ni maarufu sana kwa kushiriki pati za wanawake.
WAPENZI: Zuwena Mohamed ‘Shilole’ akiwa na 'mchumba wake', Ankar.

“Maskini Shilole, pale imekula kwake, hakuna chochote,” kilisema chanzo hicho.
 Shilole alipotafutwa alikuwa na haya ya kusema.................

 
PIPI YA KIJITI: Ankar akifyonza pipi ya kijiti.

“Jamani imeniuma sana kwani nilikuwa sijui, nimeligundua hilo baada ya kuambiwa na watu, nilipigiwa simu kutoka Uingereza kwamba yule mwanaume siyo hivyo sina mpango naye tena kwa kweli,” alisema Shilole anayetamba na kideo cha Nakomaa na Jiji.

 
TABASAMU: Ankar akitabasamu katika pozi.



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

1 comment:

  1. Shilole huho ni ushamba tu, unakurupukia Jiji Dada yangu. Unashindwa hatakuona dada za Mwanahume na Wakiume, Darh. Kutoka naye Dinner tu, mchumba nilisha mpata...huja komaa na jiji nimeona..@Shilole.

    ReplyDelete