Pages

Saturday, February 15, 2014

PHOTOS: MARIAM ISMAIL, JOHARI NA IRENE UWOYA KATIKA SEMINAR YA 5EFFECTS MOVIES HUKO BAGAMOYO.

Mariam Ismail, Irene Uwoya na Johari wakiwa katika seminar hiyo
Star wa filamu nchini anayefanya vizuri kwasasa Mariam Ismail na wasanii wenzake kama vile Johari na Irene Uwoya juzi kati walikuwa katika seminar iliyoandaliwa na kampuni ya 5Effects movies huko Bagamoyo. Kampuni hiyo imetoa mastaa wengi nchini akiwemo Marima Ismail, Seminar hiyo ilikuwa na kwa wasanii waliotolewa na kampuni hiyo huku ikiwaalika pia producers mbalimbali wa filamu nchini.

Mariam alipoulizwa na Swahiliworldplanet kuwa agenda ya seminar hiyo ilikuwa nini hasa alijibu kwa kusema "Kikubwa ilikuwa mabadiliko ya kampuni ndani ya mwaka wa 2014.. vyakurekebisha kwenye kampuni ili standard na yenye kuzalisha filamu bora Tanzania, ikabidi sasa na sisi wasanii tulioenda tukapewa na masomo ya ziada...yaani jinsi msanii anavyotakiwa ku-maintain status yake. Kwa kweli tulikuwa tunatamani tusimalize maana yalikuwa ni masomo mazuri na yenye maana kwetu"

Irene Uwoya akichambua moja ya masomo waliyopewa........
                                             Johari nae alikuwepo pia
                                   Mariam Ismail
Wahudhuriaji wa seminar hiyo wakiwa katika picha ya pamoja

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment