Mtunisy na Ramsey Nouah
Nice Mohamed(Mtunisy) na Ramsey Nouah wote ni wasanii maarufu wa filamu
barani Afrika. Ramsey Nouah ni muigizaji kutoka Nigeria huku Mtunisy
akiwa muigizaji wa Tanzania. Hata hivyo baadhi ya watu wanadai kuwa
mastaa hawa wawili wanafanana kimuonekano, utanashati na hata kiugizaji
ikidaiwa kuwa wanacheza vizuri hasa nafasi za kimapenzi katika filamu.
Ukiachilia mbali kiwango cha umaarufu wao na idadi ya filamu
walizocheza, unadhani nani mkali zaidi katika uigizaji na suala zima la
utanashati?
Mtunisy has more good looks than Ramsey but for acting i think Ramsey is more than Mtunisy. am Gilbert from Kenya
ReplyDeleteweee Mtunisy ni handsome la ukweli yaani nikimuona tu kwenye filamu huwa natota yale maeneo Ramsey ameshazeeka sasa hivi tofauti na zamani. jamanii Mtunisy nakupendaaa
ReplyDeletemdau umenena hata mimi nikimuona Mtunisy huwa nachanganyikiwa sijielewi yaani.Ramsey ameshatumiwa sana na wasichana wa Igbo huko kwao mpaka amezeeka mapema khaa
DeleteRamsey alikuwa zamani sio sasa kazidiwa na Mtunisy ila ana act vizuri kwenye movie zao za nigeria
ReplyDeleteRamsey
ReplyDeleteRwanda for Mtunisy
ReplyDelete