Pages

Wednesday, February 5, 2014

MADAM RITA ATOA SOMO LA UTANASHATI KWA VIJANA WA KIUME.

Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Rita Pauslen(Madam Rita aliandika..........

"Leo ningependa kutoa dondoo za utanashati kwa wadau wangu wa kiume...

Labda swali la msingi, kwani utanashati unamaanisha kuvaa suti ama nguo za bei ghali kila mara? Hapana huo si utanashati. Utanashati kwa kijana ni kuwa msafi wa mwili na nguo, kujipenda na kufahamu mwili wako unapendeza na nguo ya aina gani. Hata kama unafanya kazi zinazokufanya ushinde kwenye vumbi siku nzima, haimaanishi baada ya kazi basi ubaki na vumbi lako na nguo chafu.

Kumbuka ya kwamba, muonekano wako ndio unachora picha ya wewe ni mtu wa namna gani...."


                                                          Madam Rita
 
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment