Pages

Tuesday, February 25, 2014

Kajala Anusurika Kufa Baada Ya Kulishwa Sumu Kwenye Show Ya Izzo Buzness.

Kajala
Kajala Masanja ambaye ni star wa filamu nchini amelishwa sumu juzi wakati alipohudhuria show ya mwanamuziki Izzo Buzness, Hata hivyo kajala alipelekwa hospitali na kuruhusiwa baada ya afya yake kuendelea vizuri.


 Akizungumza na Bongomovies Kajala alisema "Jana (juzi) nilivyokuwa kwenye shoo ya Izzo ghafla nikaanza kuumwa nikapelekwa home halafu nikaenda hospitali. Nilivyo pimwa nikakutwa nimekunywa kitu chenye sumu lakini namshukuru Mungu naendelea vizuri, ahsante Mungu kwa kila jambo"
  


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment