Gabo Zigamba na Wema Sepetu wataonekana katika filamu mpya ambayo inaandaliwa sasa chini ya Endless Fame inayomilikiwa na Wema Sepetu. Akizungumza na
Bongo5 Gabo alisema "kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema ambayo ipo chini ya Endless Fame Films kwa hiyo ni ya Wema, Wema alinitafuta akasema tufanye kazi ndiyo ambayo tunafanya"
Gabo na Wema
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment