Pages

Friday, January 10, 2014

SIWEZI KUMDHARAU DIAMOND HATA KAMA YUPO NA WEMA SEPETU KWASASA: VJ PENNY

Mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa ambaye ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnum amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata kama si wake tena.

Akizungumza na Globalpublishers Penny alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi yao.
“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.

                                           Diamond na Penny enzi za mapenzi yao

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more.

2 comments:

  1. we mpuuzi kubali matokeo mtabaki kuchezewa kila siku na hicho kidume chenu na mtakufa na ukimwi washenzi nyie, wanawake gani hamna maamuzi utafikiri wanaume wamekwisha loh

    ReplyDelete
  2. Nimekupendaje anonym hapo juu, Wema na Penny ni mbululaz tu kwa kujishusha kwa mwanaume mkware kama Diamond

    ReplyDelete