Pages

Thursday, January 9, 2014

KIPINDI CHA BONGO MOVIES CHARUDI TENA EATV KIKIWA NA STUDIO YAKE NA RED CARPET.

Kipindi cha filamu Swahiliwood kijulikanacho kama Bongomovies ambacho kilianzia Chanel Ten na baadaye kuhamia EATV kimerudi upya kikitarajiwa kuanza muda si mrefu. Hata hivyo Joyce Kiria aliyekuwa mtangazaji wa kipindi hicho hatakitangaza tena bali kuna watangazaji wapya. Yes msimu mpya na mambo mapya ikija na kauli mbiu "WASANII TUWE MIFANO BORA KATIKA JAMII", kubwa ni kuendelea kutazama tv yako ya EATV very soon, yes namaanisha ni very soon katika Luninga yako ikirudi na ma-co starring wa uhakika Selina Victor, Hagai Kifumu na Hellen Baja. Bongo Movies msimu mpya imerudi na studio yake, na full red carpet, Tuwe pamoja katika kuhakikisha tunanyanyua na kuendeleza tasnia ya sanaa na wasanii hapa nchini.
Pastor Myamba ndani ya studio za Bongo Movies akiwa na ma co-starring, Selina, Hagai na Hellen.
Huyu wengi mtakuwa mnamfahamu, Kanumba part 2, Dah Kiukweli msanii Lutazwa anafanana mno na marehemu Kanumba"R.I.P" akiwa na watangazaji wa Bongo Movies.
Lutazwa akiwa na ma co starring Selina na Hagai, ndani ya studio ya Bongo Movies.
Pastor Myamba ndani ya studio za Bongo Movies akiwa na co starring wa ukweli Selina Victor.
 
 
credit: Here


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more.

1 comment:

  1. Itakuwa Safi sana. Tunaomba kwa Mungu na wanao burn kazi zetu wakomeshwe.

    ReplyDelete