Pages

Tuesday, January 7, 2014

JE UNA NDOTO ZA KUIGIZA KATIKA FILAMU ZA JB? BASI NAFASI HII HAPA.

Kuna wasanii wengi hasa chipukizi wangependa kuigiza filamu moja na JB au kutoka kampuni ya Jeruselem Films inayomilikiwa na JB lakini hawajui waanzie wapi. Jacob Stephen(JB) ambaye ni star mkubwa wa filamu nchini ameliona hilo na hivyo kuandika ujumbe huo hapo chini kupitia mtandao mmoja wa kijamii akiwa na lengo la kuwasaidia wale wenye vipaji vya kuigiza kupitia filamu zake.......

"Habari njema kwa wote mnaotaka kujua ni jinsi gani mnaweza kujiunga au kupata nafasi ya kuigiza kwenye filamu zangu. Wasilianeni na kijana wangu atawapa maelekezo anaitwa Richard 0717061956."

                                                                       JB

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

1 comment:

  1. Je kuna movie alisha higiza na Jennifer (wa uncle JJ)??? Kama Bado nenda kahigize naye kwanza kisha sisi baadaye. Asante. By Ramsey B. Hope Houston TX.

    ReplyDelete