Pages

Sunday, January 26, 2014

DIAMOND PLATINUMZ AJIACHIA NA FARASI HUKO ZANZIBAR.

Mwanamuziki superstar wa Tanzania, Diamond Platinumz anaonekana kufurahia mafanikio yake ambayo aliyasotea. Leo Diamond ameamua kuimalizia wikiend yake visiwani Zanzibar kwa kujituliza na farasi kama anavyoonekana hapo chini pichani na kuandika "Hivi ndivyo Jumapili yangu Inavyoenda Kisiwani zanzibar Tanzania.... Wewe je? heb post hapa kwa comment picha nikuone yako inaendaje"


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

4 comments:

  1. Out of topic nitumie contact zako nataka nikuthibitishie kwa picha habari ya Clement na Batuli huyo rafiki ya wema alishaachwa kitambo mshika nafasi kwa sasa ni Batuli nipe contact tafadhali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hello mdau! ahsante sana and unaweza kutumia email hii swahiliworldent@gmail.com na huko tutawasilian vizuri zaidi.

      Delete
  2. Mr blog unatumia whatsApp naomba namba ili iwe rahisi nikurushie picha za Batuli na Clement

    ReplyDelete
    Replies
    1. hi mdau ! tumia number hii 0782 777 530 kunirushia hizo picha whatsApp and ahsante sana

      Delete