Monday, December 16, 2013

NIKISHAMALIZA MKATABA NA SIRI YA MTUNGI NDIYO NITACHEZA FILAMU ZAIDI: ZUHURA GORA

Zuhura Gora ambaye ni actress na model amewaomba mashabiki wake wawe na subira kwani kazi zake nyingi zinatarajiwa kuonekana mwakani baada ya kumaliza mkataba wake na waandaaji wa tamthilia maarufu ya Siri Ya Mtungi ambayo season 2 inakuja na yeye akiwa mmoja wa waigizaji. Akizungumza na Swahiliworldplanet kama ana kazi nyingi kwasasa ambazo zinatarajiwa kutoka hivi karibuni Zuhura amabye ni star wa filamu ya Beautiful Fools na model wa video ya Kamili Gado ya Professor J alisema "Hapana sina zaidi ya Siri Ya Mtungi season 2 coz nipo na mkataba nao hadi February 2014 so may be nikishamaliza mkataba ndo nitafanya movie nyingine ila ipo nyingine nilishaanza ku-shoot na Hemedy ila hatujaimaliza ila inshallah 2014 tutamalza kila kitu ni u-busy ndo unaokwamisha so mashabiki wangu wasijali 2014 wategemee mazuri yanakuja"

                                                            Zuhura Gora
 
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment