Pages

Monday, December 16, 2013

KAMPUNI YA ZEST FILM PRODUCTIONS YAANZA KUWA TISHIO NCHINI BAADA YA FILAMU YAKE YA VAGABOND KUNGIA AFRICA MAGIC VIEWER'S CHOICE AWARDS 2014.

Hemedy
Kampuni ya Zest Film Productions nchini tayari imejipambanua kama moja ya kampuni zinazokuja kwa kasi nchini na kuleta upinzani kwa kampuni nyingine za filamu katika tasnia ya filamu Swahiliwood baada ya filamu ya Vagabond ambayo imetengenezwa na kampuni hiyo chini ya meneja wake Musa Venerable Mziba Kupenya katika tuzo za Africa Magic Viewer's Choice Awards 2014 katika kipengele cha best Swahili film ikichuana na filamu nyingine. Filamu hiyo imeigizwa na mastaa wa filamu nchini kama vile Hemedy Suleiman, Wellu Sengo, Blandina Chagula(Johari), na Mzee Chilo. Kama hukufanikiwa kuona nominees wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika mapema mwakani basi angalia hapa Nominees of Afica Magic Viewer's ChoiceAwards 2014.

                                                          Wellu Sengo
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment