Wengi wanawajua mastaa wa filamu nchini Blandina Chagula(Johari) na Yobnesh Yusuph(Batuli) lakini wakati huo huo hawajui kuwa mastaa hawa ni ndugu. Kwa mujibu wa Batuli ambaye pia wameshacheza filamu pamoja na Johari wao ni ndugu wa karibu yaani mama yake mzazi Johari ni bibi yake Batuli. Alipoulizwa na
Swahiliworldplanet mbona wao ni dini tofauti Batuli alijibu "suala la dini mtu anapofikisha miaka 18 hujichagulia aende wapi aidha kwa baba au mama, mama yake mzazi Johari yaani bibi yangu ni muislam so issue ya dini sio kikwazo kwetu"
Batuli na Johari
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news.
Nice ndio maana hamna skendo kumbe ndugu hii imetulia mnaonekana mmelelewa vyema. Pendaneni
ReplyDelete