Thursday, December 12, 2013

AISHA BUI ARUDI NCHINI BAADA YA KUDAIWA KUKAMATWA NA UNGA NCHINI BRAZIL.

Aisha Bui ambaye ni star wa filamu nchini miezi kadhaa nyuma alisemekana kunaswa na unga nchini Brazil na mwenyewe kuibuka wiki chache baadaye na kukanusha tuhuma hizo kuwa ni uzushi. Sasa tayari yupo Tanzania. Mwadada huyo ambaye tayari ameigiza filamu kadhaa na mastaa wenzake alionekana kwenye saloon ya Salma Jabu(Nisha) akiwekwa sawa nywele zake kama anavyoonekana pichani.

                                                                   Aisha
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment