| Lulu |
Habari zaidi ambazo zimeripotiwa na gazeti moja na mitandao kadhaa zinazidi kusema kuwa moja ya lengo la Diamond kutaka penzi la Lulu ni kutaka kuzidi kutawala vyombo vya habari kwani Lulu ni star mkubwa na mwenye mvuto kwenye media na mashabiki wengi pia anao hivyo akiwa nae kimapenzi umaarufu wake utazidi kuongezeka maradufu kwa kutawala media kila siku lakini Lulu hasikii la muadhini wa la mnadi swala katika hilo na hivi majuzi tu Lulu alitangaza kumzimikia Justin Bieber ili kuzidi kumvunja moyo Diamond ambaye ametoka na mastaa kadhaa kama vile Wema Sepetu, Jackline Wolper, Peniel Mungilwa, Rehema Fabian, Jokate na wengineo na wasichana wengi bado wanaliwinda penzi la Diamond.
Mpaka sasa watu wanajiuliza ni mwanaume gani huyo anayempa jeuri Lulu kiasi cha kumuona Diamond si kitu mpaka kubadilisha namba ya simu.
Diamond Platiunumz

endeleeni kupost mambo ya mastaa huku wanafunzi wa kitanzania wanaosoma msumbiji wanakufa njaa na blog/ media zote zinashindwa even saidia kupost habari zao eti kisa sio masupastaa
ReplyDeleteblogs zinaweka habari kutokana na kupatikana kwa habri hizo na kama bloggers hawana taarifa hizo wataziwekaje ukifikiria ni habari kutoka nchini nyingine, blohs zote haziwezi kuweka habari za aina moja na zipo nyingi tu zinazoweka haabri za kijamii kama hizo, sisi tunadeal zaidi na habari za entertainment lakini kwa kuwa ni habari muhimu wewe mwenye taarifa nazo tupe kupitia email hii swahiliworldent@gmail.com and tutaweka na bloggers wengine pia wataziona na kuweka. ahsante pia kwa comment yako
Delete