Kabuti akiwa na Wastara................................
Sunday, November 24, 2013
KAZI YA CAMERAMAN IMENIFANYA KUKUTANA NA WATU WENGI NA KUJIAMINI ZAIDI: KABUTI ONYANGO.
Kabuti Onyango ambaye ni Cameraman wa filamu nchini akiwa amefanya filamu nyingi na wasanii mbalimbali amesema kuwa kazi yake hiyo imemfanya kukutana na watu mbalimbali kwenye tasnia ya filamu nchini ambao wana majina makubwa na pia imemsaidia kujiamini zaidi katika kazi zake zinazohusu kamera.
Kabuti akiwa na Wastara................................
Kabuti akiwa na Wastara................................
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment