Friday, November 8, 2013

IRENE UWOYA ATAKA KUIGIZA FILAMU MOJA NA NICHOLAUS CAGE WA HOLLYWOOD.

Irene Uwoya amabye ni actress mwenye jina kubwa Swahiliwood amesema kuwa siku moja angetamani aigize filamu moja na muigizaji maarufu wa Hollywood Nicholaus Cage kwa kuwa anamkubali sana na ana uzoefu katika tasnia hiyo. Uwoya alifunguka hayo alipokuwa akizungumza na Bongomovies.

Sisi tunadhani hakuna linaloshindikana maana penye nia pana njia ila kikubwa ni kujipanga kutokana na mahitaji ya filamu zan Hollywood.

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment