Rais Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wamekwenda kutoa pole katika familia ya akina Wema Sepetu baada ya kufariki kwa balozi Abraham Isaac Sepetu ambaye aliwahi kushika nyadhifa kubwa serikalini. Balozi sepetu amefariki baada ya kuzidiwa na kisukari na kiharusi. Mungu ailaze roho ya marehemu nahali pema peponi, ameen
Rais kikwete akitoa pole kwa mama Wema na pembeni kulia ni Wema Sepetu akiwa na hali ya majonzi.
Mama Salma kikwete akitoa pole kwa mama Wema
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news
No comments:
Post a Comment