Pages

Monday, October 21, 2013

NANI ZAIDI: JENIFER KYAKA(ODAMA) OR SALMA JABU NISHA ?

Siku za hivi karibuni kumekuwa na picha mitandaoni za kuwapambanisha waigizaji maarufu wa filamu nchini Jenifer Kyaka(Odama) na Salma Jabu(Nisha). Hawa waigizaji wote ni maarufu, wazuri na wote wamecheza filamu nyingi. Habari ni kuwa Odama anamkubali Nisha na Nisha anamkubali Odama, pia wote licha ya kuwa waigizaji ni ma-producer wa filamu kila mmoja akimiliki kampuni yake na wote ni wachakarikaji. Lakini wewe unadhani nani ni zaidi ya mwenzake katika kuuvaa uhalisia katika filamu, nani zaidi kwa uzuri na urembo?

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

31 comments:

  1. Nisha ni wa juzi tu na kavuma mapema na mbaya zaidi amefika juu kwa kufanya film zake mapema pia, Odama ni mkongwe na hatujaona cha ajabu kwake hana ujanja wa kumfikia Nisha kifupi tu Odama Kafunikwa. Halafu kaka naomba kujua ugomvi wa Batuli na Irene Uwoya juzi kati nilikaa kwenye bar 1 hapi sinza kukawa na wasanii wa film ila walikuwa wanakunywa huku wanazungumzia issue ya mastar hao wawili, Tuliwapa ofa baadhi wa waliokuwa pale wanakunywa na tukawauliza kulikoni jibu lao wanasema Batuli amekua akiambiwa mara kwa mara kwamba adui yako ni Uwoya na ndie anaetaka kukudhuru kwa gharama yoyote na kinachoshangaza hadi kwenye comments za baadhi ya picha za Uwoya kuna wachangiaji wanalizungumzia hilo. Binafsi mimi ni shabiki sana wa film niliomba namba za mastar hawa ili niwapatanisha nawapenda na ninawaona kama mapacha ugomvi uliotengenezwa kati yao sidhani kama unapendeza maana penye watu wengi pana vita na hatimae mauaji. I have yet many things to say unto u and i have voices zao in my phone give me your number or your email i will send it to you as soon as i get it. WAKALI FILM

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ahsante sana mdau kwa comment yako juu ya mastaa hao wawili, SWP itafanya juhudi za kuwatafuta ili kuwauliza kuhusu hilo kwani ni kweli kuna habari za chini chini kuwa hawaivi pamoja vizuri ila tunafanya juhudi kuwatafuta ili watoe maoni yao. ahsante tena

      Delete
    2. Hello mdau! sorry kwa kutokukupa contact maana nlisahau kuandika hapo juu, tumia email hii swahiliworldent@gmail.com then huko tutawasiliana vizuri zaidi. ahsante sana kwa kuwa mtembeleaji na mdau mzuri wa swp

      Delete
  2. Odama ni zaidi ya Nisha kwa kuuvaa uhusika na pia hajawahi kuchafuka kwa skendo, Nisha alipandishwa haraka na skendoz Nisha is cute

    ReplyDelete
  3. Makubwa uwoya umekuwa shetani

    ReplyDelete
  4. Dunia ina mengi Samira

    ReplyDelete
  5. In the name of Jesus if ni kweli piga goti kwenye kanisa lako irene i'm Scola Banata

    ReplyDelete
  6. Sure 100% scola banata

    ReplyDelete
  7. Acha waandishi wamnange kumbe ana roho ya kigaidi hivi. Usije Temeke tutakumimina

    ReplyDelete
  8. Kwanza kama mmeamua kupambanishsa basi tafuteni mtu wa kumpambanisha na Odama lakini siyo na Nisha,Kwa sababu unapomzungumzia Odama tayari unakua unamzungumzia mwigizaji makini,ambaye anamiliki kampuni kubwa yenye vifaa vyake kuanzia kamera,taa na gari la production vitu ambavyo Nisha ni lazima akakodi kwanza ndio afanye kazi,pia Odama ana kazi nyingi sana zaidi ya 15 sokoni na bado kampuni yake ya J-FILM 4 LIFE inaendelea kuzalisha filamu kali,lakini huyo Nisha mpaka sasa ana filamu mbili tu sokoni nazo ni PUSI NA PAKU na TIKISA,sasa hapo bado hamuoni kuwa Odama kamuacha Nisha mbali sana?mi kiupande wangu ningeomba Nisha mumpambanishe na wenzake wachekeshaji kulingana na filamu zake za vichekesho lakini siyo na Odama ambaye filamu zake ni za uhalisia,kama watanzania tungekua tunataka vichekesho tungekua tunaagalia Orijino komedi tu lakini siyo Nisha,big up Odama...

    ReplyDelete
  9. Namkubali sana odama huyo nisha kafulia hana jipya

    ReplyDelete
  10. Nisha ajipange bado kumfikia odama

    ReplyDelete
  11. Jamani mnaumiza vichwa bure odama mkali

    ReplyDelete
  12. MTAKE MSITAKE ODAMA MKALI

    ReplyDelete
  13. ODAMA NDO MKALI WAO

    ReplyDelete
  14. NISHA NI WA KOMEDI NA ODAMA NI WA SERIOUS KWAHIYO NISHA BADO SAAAAAAANA

    ReplyDelete
  15. KWANI NISHA NI MUIGIZAJI?YEYE NI MCHEKESHAJI

    ReplyDelete
  16. Huyo aliepost huu mpambano hajaangalia,odama ni mkali 2,

    ReplyDelete
  17. NISHA HAJIWEZI KAFULIA

    ReplyDelete
  18. JAMANI MKUBALI MKATAE ODAMA MKALI AM FROM IRINGA TZ

    ReplyDelete
  19. Odama juu zaidi nisha chaliiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  20. Nisha ndio nani jamani?odama mkali

    ReplyDelete
  21. nani kawapambanisha hawa watu tofauti?hapo ni kama kumpambanisha mama kawele na asha boko
    odama juu zaidi

    ReplyDelete
  22. Kwako ww uliepost hili pambano bado hujaangalia sifa zao mbona jibu lipo wazi kuwa odama ni mkali

    ReplyDelete
  23. Huyu aliyeweka huu mpambano anamzalilisha ODAMA ,mbona jibu liko uchi kabisa ODAMA juuuuu!!!!!!!

    ReplyDelete
  24. acheni kumdhalilisha Odama, Nisha bado sana kufikia level ya Odama ajipange upya.........Odama yuko juuu

    ReplyDelete