Ray
Monday, October 28, 2013
NAFURAHIA MAISHA YA UBACHELA NA SINA MPANGO WA KUOA KWASASA: RAY
Muigizazji maarufu Swahiliwood Vicent Kigosi(Ray) amesema kuwa anafurahia maisha ya ubachela na wala hafikirii kuoa hivi karibu tofauti na baadhi ya mastaa wenzake ambao hukimbilia kuoa. Akizungumza na Globalpulishers Ray alisema "Napenda maisha haya, sina mpango wa kuoa kwa sasa, niko
kivyanguvyangu na suala la kuoa kwangu bado ni kitendawili ambacho bado
sijakipatia majibu"
Ray
Ray
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment