Angalizo: Jackline Wolper aliwahi kuiambia Swahiliworldplanet kuwa bado hayupo Facebook wala twitter kwa hiyo watu wawe makini na matapeli. Wolper akifungua page yake halisi tutaiwekea link ili fans wake wamjue kirahisi. Kuna akaunti nyingi sasa hivi Facebook zenye jina la Jackline Wopler na hakuna Wolper halisi hata mmoja.
Pages
▼
Saturday, October 12, 2013
JACKLINE WOLPER FAKE ATAPELI WATU FACEBOOK, ANGALIA ALIVYOTAKA KUTAPELI
Ukiwa mtu maarufu siku hizi si rahisi kuachwa na matapeli wa mitandaoni kwa kufungua akaunti fake na kujifanya ni star husika. Hayo pia yamempata star wa filamu nchini Jackline Wolper baada ya mtu asiyejulikana kufungua akaunti fake ya Facebook na kutapeli watu akijifanya ni Wolper halisi. Mtu huyo anatumia akaunti hii hapa Jackline Wolper na kwa bahati amechati na blogger Pablo Junior Calter akitaka kumtapeli bila kujua kuwa jamaa anaujua utapeli wa mitandaoni pia na baada ya hapo akaweka post ya jinsi walivyo-chat. Soma jinsi mtu huyo alivyotaka kutapeli hapa Pablojuniorcalter blog
Angalizo: Jackline Wolper aliwahi kuiambia Swahiliworldplanet kuwa bado hayupo Facebook wala twitter kwa hiyo watu wawe makini na matapeli. Wolper akifungua page yake halisi tutaiwekea link ili fans wake wamjue kirahisi. Kuna akaunti nyingi sasa hivi Facebook zenye jina la Jackline Wopler na hakuna Wolper halisi hata mmoja.
Angalizo: Jackline Wolper aliwahi kuiambia Swahiliworldplanet kuwa bado hayupo Facebook wala twitter kwa hiyo watu wawe makini na matapeli. Wolper akifungua page yake halisi tutaiwekea link ili fans wake wamjue kirahisi. Kuna akaunti nyingi sasa hivi Facebook zenye jina la Jackline Wopler na hakuna Wolper halisi hata mmoja.
No comments:
Post a Comment