Pages

Saturday, October 5, 2013

FLORAH LYMO AACHIA PICHA NYINGINE ZA UTATA.

Florah Lymo ambaye ni blogger aliyewahi kudai kubakwa na mbunge mmoja wa kanda ya kaskazini ameachia  sehemu nyingine ya picha zake zenye utata au wengine huita nusu uchi kama zinavyoonekana hapo chini baada ya wiki kadhaa nyuma kuweka picha nyingine kama hizo. Baadhi ya watu wanaamini kuwa Florah kama sio kujitafutia umaarufu kwa nguvu basi ana malengo yake mengine anayoyajua yeye mwenyewe kwa kuwa picha hizo amezipiga mwenyewe na kuziweka katika blog yake akionekana kuwa na lengo flani. Angalia picha hizo..............



   


  

  
  

  


  
  


1 comment:

  1. We huyu vipi kuonesha vipande vipande badala ya full kujiachia?

    ReplyDelete