Tetesi hizo tulizipuuza mwanzoni lakini zinaonekana kurudi tena kwa kasi hivyo Swahiliworldplanet iliamua kuwatafuta mastaa hao wawili ili watoe ufafanuzi wao wenyewe na wa kwanza kuulizwa alikuwa Uwoya hata hivyo namba yake ilionekana kutokuwa hewani alipotafutwa juzi na jana alipotumiwa ujumbe namba yake ilionekana bado haipo hewani. Batuli nae alitumiwa ujumbe juzi kuhusu issue hiyo lakini hakujibu mpaka jana usiku ndiyo alijibu akisema alikuwa busy sana. Batuli alisema "sina ubaya na msanii yeyote na moyo wangu ni mweupe na nina mapenzi na wasanii wenzangu wote, nawapenda sana anayeniwinda kwa ubaya Mungu atanipa ulinzi wake, sipendi uadui na mtu namuachia Mungu atanilipia yote"
Hata hivyo bado SWP inamsaka Uwoya kwa namba yake nyingine ili atoe ufafanuzi wake kuhusu issue hiyo na pindi akitoa maelezo yake basi utayasoma hapa hapa SWP.
Batuli
Uwoya ustar wako umeupoteza mwenyewe hata ukiwaua wasanii wote wa bongo tambua huwezi kuwa kama wao ameondoka Kanumba wasanii wengi wa kiume walishangilia lakini tujiulize nani kashika nafasi yake? Nani kasafiri kwa kazi za filamu toka ameondoka kama alivyokuwa anasafiri Kanumba usiku na mchana? Roho mbaya ya nini wakati kila mtu anakula riziki yake? Hata Jackline Wolper alikuwa analalamika hivi hivi kipindi kile uchomtengenezea uadui jisikie vibaya kwa kuwatesa wenzio angalia mwenzio kujibu kwa imani ana muachia Mungu hakika utateseka kaa chin8 utubu unafiki na ubaya wako kwa wasanii wenzio ulikuja kanisani kwetu Tabata Segerea ukagaragara na kutubu dhambi zako kumbe hufai wewe Irene
ReplyDeletenawaombeni sana mutahadharishe batuli,uwoya hana roho kabisa ilimroga mpaka mmewe ili atembee na mwanaume mwengine itakuwa batuli.uwoya hafai kuwa kio cha jamii na naamini mungu yuko atayaonyesha mabaya yake na kumlipa hapahapa chini.
ReplyDeleteMWAMBIEN UYO MALAYA UWOYA ATAKUFA VIBAYAAAAAAAAAAAAA KWA TAMAAA NA ROHO YAKE MBAYA,UKIONA MTU ANAANZA KWENDA KWA WAGANGA JUA KWISHA.
ReplyDeleteIrene Uwoya ulipoanza kupata umaarufu na kutakiwa na kila mwanaume hukujua wa kumkubali na hukujua wa kumkataa kwa sababu hukujua thamani yako na wala hukujua thamani ya kazi yako Irene Uwoya ungefanya filamu kwa malengo leo hii usingefikia kuwa kama mpira wa kona wapedeshee wote wamekumaliza hukuridhika kwenye ndoa utaridhika nje ya ndoa? Tubu dhambi zako na ukubali matokeo mbona Wema Sepetu anahangaika na yake halogi wenzie? Ona comments zinavyokupinga hii inadhihirisha tosha kuwa unawatendea wenzio ubaya unafaidika nini? Geofrey Mtikila
ReplyDeleteduh kweli dunia inamambo,kamloga mpaka mumuwe ilie muoa kwa mapenzi ilie mpa kila ki2 na kupitia mumuwe jina lilizidi kupanda kutokana na kazi ya ndiku na arusi yao leo anamshukuru kwa kumtendea unyama wa kumroga?ubinanadamu wa uwoya uko wapi?nakumbuka uwoya ikipanda ndege kila kukicha kutoka cyprus kuja bongo hakuwa na pesa ya kukata ticket kila kukicha inamaanisha alikatiwa ticket hizo na mumewe leo unamtendea unyama wa ainahiyo?utajibu nini mbele ya mungu wako irene?tangu umeanza kuzunguuka na mapedeshee wasokua na isabu,wa namziki umemaliza,H.BABA,BUSHOKE,TUNDA MAN,KALA JEREMIAH,DIAMOND na wasio julikana tena wengine unatembea nao kwenye gari mke wa mtu,wasanii wa filamu wenyewe wanajulikana,TINO,JB,KANUMBA,HAJI na wengine uchafu tena wooote ukiwa kwenye ndoa na wengine ukiwahonga wewe,kwakweli unatia aibu sana labda kwa asie kufahamu.
ReplyDeletekuna kitu nimekichunguza sana ukitazama wanaume wote hao inaotembea nao niwenye pesa ao weye majina.nahisi huwa anaambiwa nawaganga atembee na wanaume wa aina hiyo ili achukue nyota zao maskini ya mungu anaambulia kuwa mpira wa kona afazali hata mpira wa kona sazingine unapigwa iinje ya uwanja.irene huna thamani tena hata ufanye kitu kizuri cha aina gani.hvi umewahi kukaa ukafikiria KANUMBA amefariki tulimlilia kwakazi yake nzuri na roho yake je wewe ukifa watakulilia kwa kipi?watu watakua wakitaka kuiona kaburi lako ili wahadisie hili ndo kaburi la yule msani malaya wa filamu.pesa hazitafutwi hvyo wewe.
ReplyDelete