"kumekuwa
na Uvumi na habari nyingi sana Mitandaoni na kwenye Media tofauti
kwamba mimi na Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu ambacho
sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu yeye
kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?..
‘Hebu
tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko kimahusiano basi
msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? Futeni huo uzamani na mbadilike,
inamaana mnapenda kuona watu wanauadui… ni muda wa kufanya kazi ili
Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania na si kuekeana chuki zisizo na
faida, I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA"
Diamond na mpenzi wake wa sasa Penniel Mungilwa(Vj penny)
Waambie hao my boo
ReplyDelete