Sunday, September 22, 2013

SITAKI KUSIKIA TENA HABARI ZA PREZZO WALA HUDDAH MONROE: DIVA

Diva
Penzi la Prezzo kutoka Kenya na Loveness Malinzi(Diva) ambaye ni mtangazaji maarufu wa Clouds fm na pia mwanamuziki linaonekana halipo tena baada ya Diva kuandika hivi. "Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page. That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally . I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mnaendelea comment about Prezzo. well The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that. I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva

                                                Prezzo
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment