Pages

Tuesday, September 10, 2013

ROSE NDAUKA, BATULI, RICHIE NA SLIM OMAR WALAMBA DEAL LA KUWA MABALOZI WA SOKO LA HISA DAR ES SALAAM(DSE).

Mastaa wa filamu Swahiliwood Rose Ndauka, Yobnesh Yusuph(Batuli), Rich na Slim Omar wamechaguliwa rasmi kuwa mabalozi wa soko la hisa la Dar es salaam/Dar es salaam Stock Exchange(DSE). Kuanzia leo wanaanza kuwa mabalozi rasmi. Wasanii hawa watatokea katika matangazo ya Tv, radio, magazetini na mitandaoni, habari za uhakika ilizozipata Swahiliworldplanet ni kuwa mkataba walioupata ni mnono yaani pesa ndefu kwa kwenda mbele. Vile vile mkataba huo hauwabani na kazi zao nyingine zikiwemo za filamu.

  Ni jambo zuri kuona makampuni makubwa nchini yanaanza kuwathamini wasanii wetu kama wenzetu nchi za nje zilizoendelea katika sanaa kwa makampuni makubwa kuwatumia wasanii wao. Hongereni sana

Batuli, Rose Ndauka, Slim Omar na Rich
 Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new .

1 comment:

  1. Very good big up wapendwa muendelee kujiheshimu

    ReplyDelete