Pages

Tuesday, September 17, 2013

EXCLUSIVE: IRENE PAUL, VAN VICKER, WELLU SENGO, SLIM OMAR AND HASHIM KAMBI STARS IN A NEW MOVIE.

Through facebook Mwakifwamba who is also the president of Tanzanian Film Federation(TAFF) shared the photo below being with Van Vicker

Tanzanian Swahiliwood and Ghananian Ghollywood have united !, well, there is a new movie coming soon. A reliable source told Swahiliworldplanet that the film Stars Ghananian popular actor Van Vicker who has also worked in many Nollywood movies and shooting has already started in Dar es salaam. Apart from Van Vicker, the film also stars Swahiliwood famous actors like Irene Paul, Hashim Kambi, Wellu Sengo and Slim Omar in the lead roles. It is produced by Hashim Kambi in collaboration with Proin Promotions which recently launched Foolish Age successfully at Mlimani City in Dar es salaam. The film is directed by Simon Mwakifwamba and is an English-Swahili language movie.

                                                    Wellu Sengo

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

23 comments:

  1. Huyu Welu ni mwizi balaa

    ReplyDelete
  2. WAKAE CHONJO HUYU WELU NI MWIZI MPAKA MAHAKAMA ZINAMUOGOPA KWA KUWAOBIA WENZIE NI NO 1

    ReplyDelete
  3. We Anonym hapo juu mbea ka nini looh mwache msichana wa watu ana kuja kwa kasi kwenye game n we love her. mdada kajaaliwa tako tako guu guu la bia kuliko hata Wema Sepetu. Wellu my advice don't dare to bleach your skin. U have natural beauty baby go goo girl waache wambea na gossip zao

    ReplyDelete
  4. Nampenda sana Slim mkaka ni handsome kuliko Ray. Jamani Wellu kajaaliwa shape la ukweli mpaka kutishia uhai wa mashostito wenzake wa filamu wanaume wanafaidi nyiee

    ReplyDelete
  5. JB na Ray mmelala sana mpaka mzee kambi ndiyo anazitangaza filamu za kibongo nje baada ya Kanumba kufariki, mtaishia kufumaniwa tu badala ya kuangalia kutoka kimataifa sasa. Naskia Ray kimombo hakipandi kabisa afadhali hata Jb ndo maana wamebaki na swaga za kibongo pekee. Irene paul yuko poa

    ReplyDelete
  6. Welu hajaambiwa kwamba ni mbaya ila kaambiwa ni mwizi chacha hapo cha kumtetea ni kipi and wewe inaesema welu kamshinda Wema kwa kipi? Kwaza ni jamvi la wageni hawezi kufika mbali kwa sababu ya wizi hata hao wakina irene paul wasipoangalia watalizwa kila kitu mwizi sana bongo movie yote wanajua and next time dont talk nonses abt wema you full

    ReplyDelete
  7. Shida ya umaarufu ndio hiyo kama unataka kuwa star you have to change your attitude mdada welu uzuri na wizi ni vitu 2 tofauti utajiharibia kila kiti cha fanya kazi na uache wizi. SAMIRA

    ReplyDelete
  8. HAHAHHHAAAHAAAAAHAAAAAAAAAA THIEF THIEF THIEF TUWAULIZE BONGO MOVIE WAJAMENI WELU MWIZI???????????????????????? KHADIJA K/KOO

    ReplyDelete
  9. Is that true?? Nitamuuliza kaka Ray. Halafu uliyesema Ray hajui kiingereza umeulizwa?? Ushamba tu

    ReplyDelete
  10. Kawazidi uzuri ndiyo maana, Wellu piga kazi nafasi ya kushine kimataifa ndiyo hii bahati ya mtende kufanya movie na huyo mkaka wa Ghana, si angechukuliwa huyo Wema kutwaa kujichubua na mipicha ya hovyo mitandaoni, Muda wa Wema, Uwoya , Aunt unapita watoto wapya kama Wellu ndo tunawataka.

    ReplyDelete
  11. For your information Wema anajitambua hachezi movie ili mradi movie eti kisa Van Vincker kaweza kumleta Omotola or Omosexy anauwezo wa kumwita any star from any wher Wema ana cash anajina kubwa huyo changu wako ni mwizi Thief Lady go to hell unaebisha.

    ReplyDelete
  12. Anonym hapo juu Ray hajui kutema mayai kama ni mtu wako si useme tuuu ili tukusaidie kumpeleka english course.

    ReplyDelete
  13. Naskia Chuchu na Johari kimenuka kisa Ray Kigosi tupeni data wadau

    ReplyDelete
  14. Wema kabaki jina filamu hatuzioni na atapoteza jina pia soon sijui yule meneja wake anafanya kazi gani hatumuoni wema hata kwenye movies za kampuni yake. Wellu usilewe sifa sasa ktk mafanikio lazima ukutane na vizingiti njiani, Irene Paul nae kajikondesha sana kama kanywa chinese Slimming tea khaaa!

    ReplyDelete
  15. Judith kweli shoga yangu wamegombana ni makonde kwa kwenda mbele ray mtamu bibi ila chuchu kadundwa hadi kipapa kimebaki nje

    ReplyDelete
  16. mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wellu ni mzuri tako la kumwagaa, napenda filamu zake ila apungue kidogo

    ReplyDelete
  17. annon wa 17 september 8.42 am kula tano nimekupenda bureeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  18. Jamani huyu Chuchu si ni mke wa mtu huyu bado agombea mabwana au anafuata nyayo za Uwoya kutaka kuharibu ndoa yake mwenyewe. Ray nae si tunasikia anatoka na mlokole Mainda !

    ReplyDelete
  19. Mbona sionicoment za kujenga jamani? Naona kupondana na kujibu mapigo. tutaifikisha sanaa yetu mbali kwa style hiyo kweli?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaaani nawashangaa wabongo, ndio maana nfagilia title za watu...
      mmesmesema wema wee sasa kaisha mnaanza hadi maandaunder ground kweli nabii hakubaliki kwao....!!
      SHAME ON YOU HATERS....!!!

      Delete
  20. Nakubaliana na wewe Anonym hapo juu tuwapeni wasanii wetu moyo n a sio kuwaponda muda wote. am waitin to watch the muvi

    ReplyDelete
  21. I luv Slim Omar sana nipo tayari hata anipe mimba leo leo, sijui hata namna ya kumpata huyu mkaka he is so mwaaaa. Batuli anafaidi jamanii

    ReplyDelete
    Replies
    1. KUMBE MNATAKA NAMBA NA NAFASI ZA WATU??? HAYA MAKUBWA.... UNAWAZAJE MWENZIO ANAFAIDIJE KAMA SIO NGONO TUU. MWENZIO YUKO KIKAZI ZAIDI SHAURI YAKO!!!!!

      Delete