Wema sepetu ambaye ni actress na Miss Tanzania wa mwaka 2006 juzi aliamua kusherehekea sikukuu ya Eid akiwa na wazazi wake wote wawili na na kupiga story za hapa na pale. Wema mara nyingi huonekana na mama yake na aliwahi kumuonyesha baba yake mara moja lakini juzi aliamua kujiachia na wazazi wake wote wawili kama anavyoonekana hapo chini.
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Hongera wema sepetu
ReplyDelete