Pages

Thursday, August 8, 2013

WASANII WAKALI MARA NA KANDA YA ZIWA KUFANYA KWELI LEO KATIKA UKUMBI WA KALENGO, BUHEMBA.

Leo kutakuwa na show itakayowashirikisha wasanii wakali kibao wanaotamba mkoani mara na kanda ya ziwa kwa ujumla. Show hiyo imeandaliwa na mtangazaji wa radio Victoria fm iliyopo Musoma, Mara na itakuwa maeneo ya Buhemba, Butiama katika ukumbi wa Kalengo huku kiingilio kikiwa ni shilingi elfu 4000/= tu. Show hiyo ni kuanzia saa moja usiku kwa hiyo sio show ya kukosa.

Mtangazaji wa Victoria fm na muandaaji wa show hiyo Patrick Derrick
 Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment