Actors maarufu Swahiliwood Jacob Stephen(JB), Bi. Kiroboto na Steve Nyerere wamelamba deal la matangazo ya Airtel kwa muda wa mwaka mmoja. Matangazo hayo ya "Airtel Yatosha" ni kwa ajili ya billboards, Tv na radio na tayari yameanza kuonekana yakiwa na picha za mastaa hao ambao inaonekana hata malipo yao si haba.
Hii ni moja ya hatua nzuri kwa makampuni makubwa kuona umuhimu wa kuwatumia mastaa wa nyumbani katika kutangaza biashara zao na ni moja ya njia nzuri ya kufaidika na vipaji na umaarufu wao kama wenzao wa nje.
Jb
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment