Sunday, August 11, 2013

LICHA YA KUWA MUIGIZAJI GEOFREY KUSILA ANAZIMUDU VIZURI KAZI ZA CAMERAMAN.

Geofrey Kusila ni muigizaji wa filamu nchini lakini licha ya kuigiza hushika kamera pia wakati mwingine akiwa kama production manager wa kampuni ya Leo Media ambayo inajihusisha na usambazaji wa filamu na pia utengenezaji wa filamu na vipindi vya Tv. Angalia picha hapo chini akiwa mzigoni............

                                    akihakikisha mambo yanakwenda vizuri katika kamera
                                                mbele ya kamera......

No comments:

Post a Comment