Pages

Thursday, August 15, 2013

Filamu ya Double J Final kuingia sokoni muda si mrefu.

Filamu ya Double J Final ambayo imechezwa na star wa filamu za action Swahiliwood Jimy Mponda, Angel Magige, Charles Magari na Veronica Vyankero inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Filamu hiyo ni muendelezo wa filamu za Double J ambazo zimetamba sokoni.

Ukiachilia mbali filamu hiyo Jimy Mponda ameonekana kujipambanua katika filamu za action Swahiliwood hasa kutokana na mwili wake uliojengeka kimazoezi na kipaji alicho nacho. Pia ametamba sokoni na mfululizo wa filamu za Misukosuko.

 Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment