Kupitia mtandao wa twitter actress maarufu Yobnesh Yusuph(Batuli) amesema kuwa watu wengi wamekuwa wakimwambia ana sauti nzuri kwa hiyo anafaa kuwa mwanamuziki lakini yeye ameandika kuwa bado analifikiria hilo na kutweet moja kwa moja kwa wanamuziki maarufu kama ishara ya kutaka maoni au ushauri zaidi. "watu wengi wameniambia nina sauti nzuri na ninafaa kuwa mwanamuziki nalifikiria wazo hili" alitweet Batuli.
Wasanii wengi wa filamu kwa sasa wameingia katika muziki wa Bongofleva pia na kufanya vizuri ikiwa kama sehemu ya kujiongezea mkwanja, mfano Shilole, Snura na wengineo.
m-follow muigizaji huyo maarufu hapa BATULI ACTRESS
Batuli
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Karibuuuuuu
ReplyDeleteWatajutrrrrrrrraaaaaaaaa WE LOVE YOU MAMAAAAAAA
ReplyDeleteYOU ARE BEAUTIFUL BATULI SALI SANA UMREMBO SANA. JONATHAN MWANZA
ReplyDeleteYou are the best woman, pretty and clever. I'm in love with you please naomba email yako naishi Dubai my name is Abdulkharis Shayoom my id is abdulquwaiicompany@hotmail.com add me i have private issue. PLEASE ACCEPT MY REQUEST THANK YOU Alhamdulilah Rabbil A'laamiin
ReplyDeleteBravo sipati picha uzuri huo uingie na kwenye muziki tutakuona tena? Vigogo wasijekukuweka ndani tu ukapotea kwenye game mazima jicho na hiyo shepu stejini huuuuuuuh sijui itakuwaje ngoja tusubiri batuli/muigizaji/mwanamuziki
ReplyDeleteImba our icon we love u aunt mwaaaaaaa mimi aut zena
ReplyDeleteShe is hot & sexy damn. Gabon
ReplyDeleteNIKIFIKA DAR NITAKUTAFUTA NASOMA MAGAZETI HUWA NAONA MNAKUWA PALE LIDAZ KARIBUNI KAHAMA NA GEITA NAKUPENDA SANA WEWE NA JB MIMI NASHUGHULIKA NA MADINI HUKU KARIBUNI SANA NAWEZA KUPATA NAMBA YAKO YA SIMU YA KIGANJANI NITASHUKURU SANA KAMA NITAFANIKIWA WALAU KUONGEA NA WEWE AU JB MIMI NI MTANZANIA MWENZETU MSINIOGOPE NAITWA GABRIEL MASANJA AU MAARUFU HUKU KAMA MFALME WA MAWE. KARIBUNI AU HATA MKIFIKA MWANZA PIA NI KWANGU KARIBUNI JB NA BATULI NIJIBU AU NIANDIKE NAMBA YANGU WAPI UPO FASEBOOK
ReplyDelete