Kupitia facebook actress huyo maarufu aliandika hivi na kuambatanisha picha hiyo hapo chini "Watanzania hiki ni kituo cha Watoto Yatima kipo
Bunju, mlezi wa kituo anaitwa Aunt Halima, Guyz watoto ni wadogo sana na mlezi
huyu ameniambia kimbilio lake lilikuwa ni kwa Hayati Steven Kanumba
anasema ndio alikuwa akiwaletea watoto hao kwa asilimia 80 kituo kina
watoto 95, show love kwa kutoa ulichojaaliwa kwa watoto hawa ni wadogo
sana, tuwape support wafikie malengo yao namba za mlezi ni 0715 720022
tutoe tulichojaaliwa"
Kama umeguswa na watoto hao basi unaweza kuwasiliana na mlezi wao kupitia namba hizo hapo juu
Batuli
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Very nice big up mama
ReplyDeleteKitu kikubwa sana ongeza bidii mpenzi
ReplyDeleteKAZA BUTI KUTOA NI MOYO ILA UHAMASISHAJI HUO NI BORA ZAIDI YA CHOCHOTE ENDELEA NA MOYO HUO HUO
ReplyDelete