Pages

Tuesday, August 20, 2013

BABA MZAZI WA MWANAMUZIKI BOB JUNIOR AFANYA MAKAMUZI YA KUFA MTU KATIKA SHOW NCHINI FINLAND (PHOTOS)

Bob Junior ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva lakini kipaji hicho ni kama amerithi kutoka kwa baba yake mzazi Mr. B Rummy Nanji ambaye pia ni mwanamuziki maarufu akifanya kazi zake ulaya. Weekend iliyopita mdingi wa Bob Junior ali-perform nchini Finland kama anavyoonekana pichani hapo chini akifanya makamuzi ya kufa mtu.................................

Weekend hiyo hiyo Bob Junior Sharobaro nae alikuwa Mwanza, Tanzania akitoa show ya maana kama anavyoonekana pichani chini.......................Ama kweli mtoto wa nyoka ni nyoka..................

Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

1 comment: