Amanda amabye ni muigizaji maarufu anayefanya vizuri kwasasa katika filamu amesema kuwa amekoma kumtangaza hadharani mpenzi wake kwa maana baadhi ya wanawake wa kibongo wana tabia ya kuibiana mabwana baada ya kujua unatoka na mwanaume flani licha ya kuwa kabla ya kutoka nae hawana habari nae. "Daah! Nimekoma, sitatangaza tena, wasichana wa Kibongo wamezidi, unakuta mwanaume kabla hujawa naye
kimapenzi hakuna mtu anayeshughulika naye lakini wakisikia uko naye
ndiyo wanamsaka, kwa sasa nikija kumtangaza mchumba basi ujue ndoa soon" alisema Amanda akizungumza na Globalpublishers.
Hivi karibuni Amanda alimwagana na Bwana Misosi ambaye ni mwanamuziki wa Bongofleva.
Amanda
Like our facebook pages Swahili World Planet Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment