Pages

Tuesday, August 6, 2013

ACTRESS SKYNER ALI KUINGIA GYM KUPUNGUZA MWILI.

 Mashabiki wa muigizaji maarufu nchini Skyner Ali wamekuwa wakimlaumu actress huyo kwa kujiachia kuongezeka uzito sana au kunenepa kwa madai kuwa kapoteza mvuto wake wa awali. Hiyo imetokea hata katika post tulizoweka katika mtandao huu zikimhusu muigizaji huyo aliyetamba na filamu kadhaa kama Second Wife na Johnson. Lakini Skyner akichonga na Swahiliworldplanet amesema kuwa yupo mbioni kupungua uzito muda si mrefu mashabiki wake watafurahia muonekano wake mpya.

Kwasasa Skyner anashuti filamu ya Chicken Head akiwa na Vicent Kigosi Ray na filamu yake nyingine inayoitwa Shahada akiwa na Issa Musa(Cloud) na Salama Salmini(Sandra) inatarajiwa kuingia sokoni muda wowote kuanzia sasa hivyo kaa mkao wa kula.

                                                              Skyner alivyo sasa
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

3 comments:

  1. Hana lolote mlevi sana awadanganye nyie

    ReplyDelete
  2. Kiraruraruuuuu na uso utaufanyaje? Umekaa kishangingi

    ReplyDelete