Pages

Friday, August 9, 2013

ACTRESS SALMA JABU(NISHA) AFUNGUA SALOON YA KISASA.

Actress Salma Jabu(Nisha) amefungua Saloon ya kisasa maeneo ya Sinza Madukani Dar es salaam ikiwa ni moja ya harakati zake za kujiimarisha zaidi kiuchumi. Angalia zaidi hapo chini ili ujue Salon hiyo inajishughulisha na nini na kama unataka kupendeza na kuwa kisasa zaidi basi usisubiri nenda Saloon ya Nisha.

Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment