Yvonne Cherryl(Monalisa) ambaye ni actress maarufu Swahiliwood juzikati alifanyiwa surprise ya kumwagiwa Shampeni na wafanyakazi wa radio Times fm ya jijini Dar es salaam. Siku hiyo wafanyakazi hao walimpigia simu Monalisa wakimtaka aende ufukwe wa Coco Beach na yeye kwenda akijua ameitiwa kampani ya kawaida tu. Lakini alipofika akaanza kumwagiwa shampeni na maji huku wakimwimbia wimbo wa happy Birthday kumbe ilikuwa siku yake ya kuzaliwa actress huyo akitimiza miaka 32. Angalia picha ilivyokuwa.............
Like our facebook pages Swahili World Planet Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment