Pages

Wednesday, July 24, 2013

WEMA SEPETU ANUNUA GARI JIPYA LA GHARAMA.

Wema Sepetu amenunua gari jipya la rangi ya pink kutokana na maneno ya meneja wake Martin Kadinda aliyoandika facebook na kuweka picha ya Wema akiwa na gari hilo "samahani kwa ubora wa picha kuwa hafifu....... Ila huyu dada anapenda pink kupitiliza..... haya she gat new pink Car.... mkutane barabarani..." aliandika Martin. Licha ya gari hilo kutotajwa gharama yake lakini linaonekana kuwa na gharama pia kama mengine anayomiliki actress huyo wa Swahiliwood.  Angalia picha.....................


Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.


1 comment: