Diamond na Penny
Friday, July 5, 2013
WATU KUINGIA KWA KIINGILIO KATIKA NDOA YA DIAMOND PLATINUMZ.
Akizungumza na gazeti la Ijumaa Diamond alisema "Suala la ndoa yangu nalifanya kwa umakini sana, watu wawe na subira
tu ila wanachotakiwa kujua ni kwamba nina plani za kuifanya sherehe ya
ndoa yangu kwenye Uwanja wa Leaders Club, pale Kinondoni na watu
wataingia kwa kiingilio kisichopungua shilingi elfu kumi. Itakuwa ni
ndoa ya Wasafi bana,”
Diamond na Penny
Diamond na Penny
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment